Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Mafundi hapa katikati mlikosa soko. Mliwekewa wasichana hapo hapo school.

K.o tulikuwa tuna tawala sisi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....aisee...miaka yetu tulikuwa tunajenga hoja...basi tunaletewa watoto wa KO....
Jtatu tukiingia class tunanuniwa vibaya sana na madada....those years madada walikuwa wachache.....kwa class ya 40 students only 8 were girls.....

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Alafu hao nane wote sura zao ngumu....

Washika spana.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alafu hao nane wote sura zao ngumu....

Washika spana.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .....vibaya sana....wanawaza buku tu...

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Duuu jamaa kawa soldier asee au police

Maana jamaa alikua anamwili mkubwa sauti ndogo...na akiamua kupiga jalamba ni shidaaa
Hahahah alikuwa anazingua kuamsha watu mchaka mchaka dahhhhh

Yupo tanga pale sio madoa doa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .....vibaya sana....wanawaza buku tu...

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Hahaa enzi hizo ukiwa na dem wa technical school yaani hata huwezi mtaja mbele ya wana
 
Hata Mimi juzi tuu nimemkuta msocha kanikumbusha mbali saana.

Kuna kipindi alinunua kapikipiki sasa akawa hawez kuendesha vizuri.

Akiwa anapita huku nyuma tunamcheka hawez kugeuka Bado Lena.

Alipokuja kuimaster fresh tulimkoma.

Cc Daby
Yule mzee hakui tu.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ila galaxy ni shida sna maana vigodoro wadau walikua wanahudhuria ata kiwe sahare lazima uwakute wagalatia
Ndiyo Nature ya boy's school hiyo.....nlipokwenda A level jamaa wanaenda kunywa mataputapu kijijini...[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Duh mkuu.. sorry
Ulikuwa mserbia au?? Maana hata wasebia walikuwa wanakaza wanatoka.
Au Ni zile combi mpya za pcm??
nlikuwa sio mserbia ila mazingira na system havkuwa rafiki kwangu...BTW sikufail kabisa japo pia sikuperform kulingana na uwezo, effort na malengo yangu
 
sioni mkitaja Mr Mbunda, Saranga, Mwaipopo, Salumu. etc How about Defender 110 vip ipo road au ilishakufa, mana ndio ulikuwa usafri wa bombo kupeleka wagonjwa mahtuti wa malaria, hajambo mpishi RASTA
Bila ya kusahau miss naburi..
Zamu yao na msocha utakoma

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Wapi mr. Shemgwa..
Ukiskia pikpik yake xtrail lazima utoke nduk

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Umenikumbusha yule jamaa muuza duka alikuwa rafiki yangu kinoma ila jina lake nimesahau

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Nilikua kahawa cube 2, sema tulikua tunshika mkia kwenye usafi toka niingie mpaka namaliza

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Pamba lilikuwa linaongoza kwa uchafu

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha yule jamaa muuza duka alikuwa rafiki yangu kinoma ila jina lake nimesahau

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Alikuwa anaitwa Jose. Nadhani aliogopa saana ile siku ya moto.

Ila dah kuna jamaa walisnitch harakati
 
Back
Top Bottom