Pole mkuu.nlikuwa sio mserbia ila mazingira na system havkuwa rafiki kwangu...BTW sikufail kabisa japo pia sikuperform kulingana na uwezo, effort na malengo yangu
Hiyo zamu ya Naburi na msocha ujue Ni week ya graduationBila ya kusahau miss naburi..
Zamu yao na msocha utakoma
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Hahaha una bahati sana,ila maticha walikuwa wamezidi sana unoko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh ulinusurika mnoo. Ngoko na chikota walidakwa
Mimi nilikuwa kwenye vigodoro huko uswazi hwakupita
Mapana boys? Duh mlikuwa na "mbuzi" huko???Asante mkuu,nilikuwa nakaa Chai pale namba kumi,room yetu tumeiandika Mapana boys
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mi nlikuwa kumi na nane hiyo na marehem charls Arra, don DuniaAsante mkuu,nilikuwa nakaa Chai pale namba kumi,room yetu tumeiandika Mapana boys
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Hiyo namba kumi ilikuwa cube ya mabishoo saanaAsante mkuu,nilikuwa nakaa Chai pale namba kumi,room yetu tumeiandika Mapana boys
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kuna yule mwingine mweupe,mimi siku ile nilikuwa nimelala zangu nashangaa tu watu wanasema duka linawaka[emoji23] [emoji23]Alikuwa anaitwa Jose. Nadhani aliogopa saana ile siku ya moto.
Ila dah kuna jamaa walisnitch harakati
Dah umenikumbusha Big Dom leader wetu...jamaa alifariki hata kabla ya matokeo kutoka.Mi nlikuwa kumi na nane hiyo na marehem charls Arra, don Dunia
Hahahaha,kumbe unakumbuka kiongozi alikuwa Fredrick mhalafu goolkeeprHiyo namba kumi ilikuwa cube ya mabishoo saana
Paka Leo sijui kama kitendawili kiliteguliwa juu ya sababu za duka kuungua.Kuna yule mwingine mweupe,mimi siku ile nilikuwa nimelala zangu nashangaa tu watu wanasema duka linawaka[emoji23] [emoji23]
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe mpaka leo sijui nini kilitokea ila lazima kuna wadau walihusikaPaka Leo sijui kama kitendawili kiliteguliwa juu ya sababu za duka kuungua.
Kipindi kile watu walikuwa na tension kubwa saana ya kutaka kwenda kula xmass kwao
Wale wengine walikuwa wanakuja kufata wenzao.Dah umenikumbusha Big Dom leader wetu...jamaa alifariki hata kabla ya matokeo kutoka.
Halafu ile room yenu ilikuwana watata kibao
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Duh Basi lilikuwa tukio la mwaka wale masnitch wangeipata hiyo pasingetoshaMimi mwenyewe mpaka leo sijui nini kilitokea ila lazima kuna wadau walihusika
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Wale jamaa mimi nilikuwa nawaogopa sana aisee, walikuwa na chimbo lao nyuma ya bweni kule msituni walikuwa wanapaita AMAZON basi siku ya jumatatu kabla ya assembly watu wanaenda kujificha huko.Wale wengine walikuwa wanakuja kufata wenzao.
R.i.p big dah hii kitu iliuma saana. But alifariki baada ya matokeo sema ilikuwa kabla ya kupangiwa vyuo alipata udom.
Kuna kipindi walinunua mfuko wa sukari wa kg 35 hiv watu wa pamba na kahawa walikuwa wanakuja kugongea sukari.
Wazeee wa western
Nakumbuka nyinyi si ndio mlikuwa mnatandika vitanda vizuri mnatolewa mifano.Hahahaha,kumbe unakumbuka kiongozi alikuwa Fredrick mhalafu goolkeepr
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Yeah Amazon forest inahusika saana.Wale jamaa mimi nilikuwa nawaogopa sana aisee, walikuwa na chimbo lao nyuma ya bweni kule msituni walikuwa wanapaita AMAZON basi siku ya jumatatu kabla ya assembly watu wanaenda kujificha huko.
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] yap,niliwasiliana naye mara mwisho alikuwa yuko chuoni badoNakumbuka nyinyi si ndio mlikuwa mnatandika vitanda vizuri mnatolewa mifano.
Fredi anamlinda faru fausta now days
Poa poa chief....[emoji1] [emoji1] yap,niliwasiliana naye mara mwisho alikuwa yuko chuoni bado
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kuna mabadiliko makubwa sana. Zamani ilikuwa PambaBweni la watu wachafuu
Paka Mimi naondoka ilikuwa pamba mkuu, pale juu nilikutania.Kuna mabadiliko makubwa sana. Zamani ilikuwa Pamba