Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

nlikuwa sio mserbia ila mazingira na system havkuwa rafiki kwangu...BTW sikufail kabisa japo pia sikuperform kulingana na uwezo, effort na malengo yangu
Pole mkuu.

Pale ilikuwa msuli binafsi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh ulinusurika mnoo. Ngoko na chikota walidakwa
Mimi nilikuwa kwenye vigodoro huko uswazi hwakupita
Hahaha una bahati sana,ila maticha walikuwa wamezidi sana unoko.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu,nilikuwa nakaa Chai pale namba kumi,room yetu tumeiandika Mapana boys

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mapana boys? Duh mlikuwa na "mbuzi" huko???
Au ndio msuli ulikuwa primary pale ffu
 
Alikuwa anaitwa Jose. Nadhani aliogopa saana ile siku ya moto.

Ila dah kuna jamaa walisnitch harakati
Kuna yule mwingine mweupe,mimi siku ile nilikuwa nimelala zangu nashangaa tu watu wanasema duka linawaka[emoji23] [emoji23]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Mi nlikuwa kumi na nane hiyo na marehem charls Arra, don Dunia
Dah umenikumbusha Big Dom leader wetu...jamaa alifariki hata kabla ya matokeo kutoka.
Halafu ile room yenu ilikuwana watata kibao

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kuna yule mwingine mweupe,mimi siku ile nilikuwa nimelala zangu nashangaa tu watu wanasema duka linawaka[emoji23] [emoji23]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Paka Leo sijui kama kitendawili kiliteguliwa juu ya sababu za duka kuungua.

Kipindi kile watu walikuwa na tension kubwa saana ya kutaka kwenda kula xmass kwao
 
Mimi mwenyewe mpaka leo sijui nini kilitokea ila lazima kuna wadau walihusika

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Dah umenikumbusha Big Dom leader wetu...jamaa alifariki hata kabla ya matokeo kutoka.
Halafu ile room yenu ilikuwana watata kibao

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Wale wengine walikuwa wanakuja kufata wenzao.
R.i.p big dah hii kitu iliuma saana. But alifariki baada ya matokeo sema ilikuwa kabla ya kupangiwa vyuo alipata udom.

Kuna kipindi walinunua mfuko wa sukari wa kg 35 hiv watu wa pamba na kahawa walikuwa wanakuja kugongea sukari.

Wazeee wa western
 
Wale jamaa mimi nilikuwa nawaogopa sana aisee, walikuwa na chimbo lao nyuma ya bweni kule msituni walikuwa wanapaita AMAZON basi siku ya jumatatu kabla ya assembly watu wanaenda kujificha huko.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha,kumbe unakumbuka kiongozi alikuwa Fredrick mhalafu goolkeepr

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Nakumbuka nyinyi si ndio mlikuwa mnatandika vitanda vizuri mnatolewa mifano.
Fredi anamlinda faru fausta now days
 
Wale jamaa mimi nilikuwa nawaogopa sana aisee, walikuwa na chimbo lao nyuma ya bweni kule msituni walikuwa wanapaita AMAZON basi siku ya jumatatu kabla ya assembly watu wanaenda kujificha huko.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Yeah Amazon forest inahusika saana.

Unaanzaje kwenda assembly huna sox alafu hujakaza tai vile msocha anataka???
 
Nakumbuka nyinyi si ndio mlikuwa mnatandika vitanda vizuri mnatolewa mifano.
Fredi anamlinda faru fausta now days
[emoji1] [emoji1] yap,niliwasiliana naye mara mwisho alikuwa yuko chuoni bado

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mabadiliko makubwa sana. Zamani ilikuwa Pamba
Paka Mimi naondoka ilikuwa pamba mkuu, pale juu nilikutania.

Nakumbuka kwenye mashindano ya usafi kuna siku pamba ilikuwa ya kwanza kila mtu alishangaaa
 
Back
Top Bottom