Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Msocha anakagua hadi kucha[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna.siku alimleta yule jamaa mpiga picha akiwa amejifunga shuka tu shingoni kama mmasai asubuhi pale assembly,....yani maisha shule raha sana natamani yajirudieYeah Amazon forest inahusika saana.
Unaanzaje kwenda assembly huna sox alafu hujakaza tai vile msocha anataka???
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Paka Mimi naondoka ilikuwa pamba mkuu, pale juu nilikutania.
Nakumbuka kwenye mashindano ya usafi kuna siku pamba ilikuwa ya kwanza kila mtu alishangaaa
Yeah nakumbuka. Jamaa mkuda saana.Msocha anakagua hadi kucha[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna.siku alimleta yule jamaa mpiga picha akiwa amejifunga shuka tu shingoni kama mmasai asubuhi pale assembly,....yani maisha shule raha sana natamani yajirudie
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
GivenYeah nakumbuka. Jamaa mkuda saana.
Mpiga picha yupi? Yule ngosha au given??
Unakumbuka Yule jamaa aliyetaka kupewa paa kisa hakutandika kitanda???Msocha anakagua hadi kucha[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna.siku alimleta yule jamaa mpiga picha akiwa amejifunga shuka tu shingoni kama mmasai asubuhi pale assembly,....yani maisha shule raha sana natamani yajirudie
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Tupo mkuu wewe ulikwa bweni ganiNimefurahi kuona kuna wadau wengi humu kumbe,Nlishangaa huu uzi nlipoweka 2015 haukuwa na watu,Nimefurahi kuwaona member wa JF ambao pia ni vijana wa msocha
Duhhh...Given
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Wengi saana mkuu.Nimefurahi kuona kuna wadau wengi humu kumbe,Nlishangaa huu uzi nlipoweka 2015 haukuwa na watu,Nimefurahi kuwaona member wa JF ambao pia ni vijana wa msocha
Namkumbuka yule jamaa,vile vigae sikubeba aisee... ila nilipewa azabu ya kuchimba visiki vitatu vya muarobaini nilipiga kama wiki bila mafanikio.Unakumbuka Yule jamaa aliyetaka kupewa paa kisa hakutandika kitanda???
Hivi vigae hukubebeshwa kweli??
2012Youngblood wa mwaka gani wewe??
Hahahaha,pale chooniChai number 2
Duh Pole saaana hilo Dom lilikuwa chafu balaaaPAMBA ndo dom langu 2012 cube 2 halufu za choo... noumaa sana
ubabe wa adv nikikumbuka nacheka sana......