Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Yeah Amazon forest inahusika saana.

Unaanzaje kwenda assembly huna sox alafu hujakaza tai vile msocha anataka???
Msocha anakagua hadi kucha[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna.siku alimleta yule jamaa mpiga picha akiwa amejifunga shuka tu shingoni kama mmasai asubuhi pale assembly,....yani maisha shule raha sana natamani yajirudie

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Paka Mimi naondoka ilikuwa pamba mkuu, pale juu nilikutania.

Nakumbuka kwenye mashindano ya usafi kuna siku pamba ilikuwa ya kwanza kila mtu alishangaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Nimefurahi kuona kuna wadau wengi humu kumbe,Nlishangaa huu uzi nlipoweka 2015 haukuwa na watu,Nimefurahi kuwaona member wa JF ambao pia ni vijana wa msocha
 
Msocha anakagua hadi kucha[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna.siku alimleta yule jamaa mpiga picha akiwa amejifunga shuka tu shingoni kama mmasai asubuhi pale assembly,....yani maisha shule raha sana natamani yajirudie

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Yeah nakumbuka. Jamaa mkuda saana.

Mpiga picha yupi? Yule ngosha au given??
 
Msocha anakagua hadi kucha[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna.siku alimleta yule jamaa mpiga picha akiwa amejifunga shuka tu shingoni kama mmasai asubuhi pale assembly,....yani maisha shule raha sana natamani yajirudie

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Unakumbuka Yule jamaa aliyetaka kupewa paa kisa hakutandika kitanda???
Hivi vigae hukubebeshwa kweli??
 
Nimefurahi kuona kuna wadau wengi humu kumbe,Nlishangaa huu uzi nlipoweka 2015 haukuwa na watu,Nimefurahi kuwaona member wa JF ambao pia ni vijana wa msocha
Tupo mkuu wewe ulikwa bweni gani

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Nimefurahi kuona kuna wadau wengi humu kumbe,Nlishangaa huu uzi nlipoweka 2015 haukuwa na watu,Nimefurahi kuwaona member wa JF ambao pia ni vijana wa msocha
Wengi saana mkuu.
 
Unakumbuka Yule jamaa aliyetaka kupewa paa kisa hakutandika kitanda???
Hivi vigae hukubebeshwa kweli??
Namkumbuka yule jamaa,vile vigae sikubeba aisee... ila nilipewa azabu ya kuchimba visiki vitatu vya muarobaini nilipiga kama wiki bila mafanikio.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
mnamkumbuka boy wa mbeya alikamatwa na simu form 6 2012 ikapasuliwa asembo na akaambiwa awelete wazaz ahaaa alipofika dom akaanza kusema duu mzazi kutoka beya mpaka tanga na mimi ina ghariu 450,000
 
Back
Top Bottom