Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Hahaha, sio rahisi kunijua wew.Nishakujua[emoji1] [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, sio rahisi kunijua wew.Nishakujua[emoji1] [emoji1]
Cha ajabu matokeo mizinguo.Waserbia watu walikuwa wanatuogopa sana kwa msuli mpka walimu wenyewe walikuwa wanajua hilo.
Ngoja nisije nikamwaga mchele hapaHahaha, sio rahisi kunijua wew.
Acha kabisa msuli wa CBA ni balaa, nakumbuka class letu watu waoipiga four zakutosha tuCha ajabu matokeo mizinguo.
Ila ile CBA inahitaji msuli aseeh. Masomo yote yana mambo mengi saana.
Haha, mwenyeji niliwapokea hivyo picha ikujie. Na tuliokuwa tunabakia hapo advance tulikuwa tunajulikana wazi.Ngoja nisije nikamwaga mchele hapa
Ndiyo maana nimekwambia nshakujua sababu waliobakia hapo baada ya kumaliza four walikuwa wachache sana kama kija mlulo mugema,suma yule alikuwa anavaa miwani na wengine...Haha, mwenyeji niliwapokea hivyo picha ikujie. Na tuliokuwa tunabakia hapo advance tulikuwa tunajulikana wazi.
Nilikuwa mbele ya mgema. One stepNdiyo maana nimekwambia nshakujua sababu waliobakia hapo baada ya kumaliza four walikuwa wachache sana kama kija mlulo mugema,suma yule alikuwa anavaa miwani na wengine...
Basi kweli sikujuiNilikuwa mbele ya mgema. One step
Hahahakwa wale waliobahatika kuwepo kipindi cha Amina mtengenezaji maandazi, kipindi cha kande dah, haliendi we acha tu....
hapana ila na jamaa zangu weng sana wamepita apo ahaaaWewe ulipita mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
nasikitika nilimuona bets shop meridian chakonichako dom kachoka sana ila ubrazameni wake upo vilevileIcho kichwa mang'ana ni shida kaka
mandia nilionana naye moro siku moja analipa ada ya chuo crdb masika[emoji2][emoji2][emoji2] kutambo Sana hao watu
Ilikuwa hatari SanaHahhhahhha afu yule jamaana cjui mr black& yellow anajifanya traffic police wa muda
Na rafiki zake akina Faraja Jimamandia nilionana naye moro siku moja analipa ada ya chuo crdb masika
Aisee unawakumbuka walimu balaaaaOmary alikuwa hana nooma.
Kwa wa-serbia watakuwa wanamkumbuka kwenye chemistry jamaa ni kichwa balaa.
Halafu kuna mwingine alikuwa anaitwa Jinyevu huyu jamaa asemble alikuwa akiongea ngeli hamuelewi.
Nyie mliosoma na o level pale mlikuwa wasumbufu balaa mkiongozwa na PanjabAdvance niliishi Pamba O'level nimeishi Mkonge na Kahawa.