Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mbona unajipa umuhimu ambao hauna. Wapi nimeitaja Yanga?Sisi Yanga hatumo kwenye huo ujinga,kila mtu ashinde match zake.
Hamna, Galaxy ndiyo wanaenda kula hela ya pande zote. Wanachukua pesa ya Wydad wakimuahidi watakaza halafu watachukua pesa ya Simba wakiahidi watalegeza. Mwisho wa siku kiwango kitaamua au vigezo vingine.Watakao kula hela ya Wydad
1. Marefarii hawa watapewa ili kubalance mchezo au kuwaua wenyeji
2. Mtu wa karibu wa Simba ili kuuza mbinu za timu na ikiwezekana kupitisha Takrima kwa baadhi ya wachezaji
Hahahaha..ahsante kwa kuiweka vzr ..hapo Galaxy wanaringa utadhani mwali wa kizaramo ...Hamna, Galaxy ndiyo wanaenda kula hela ya pande zote. Wanachukua pesa ya Wydad wakimuahidi watakaza halafu watachukua pesa ya Simba wakiahidi watalegeza. Mwisho wa siku kiwango kitaamua au vigezo vingine.
Wydad wametuma watu wao ili kuangalia kama kutakuwa na viashiria vya Simba kupanga matokeo waje kushtaki au kumpa pressure tu Simba wacheze fair wakati hata wao wamepitisha mlungula.
Wanasahau kuwa muhuni ni rahisi kuliko kuwa mtakatifu, hali ikiwa ngumu tegemea camera za Azam kupata kaukungu fulani au kuanza kupiga shot kama za Bongo Movie huku mipango ikiendelea kufanywa kwenye pitch 🤣😂🤣
Yaani kwao huu ni msimu wa maokoto. Wasipojenga safari hii ndo basi tena 🤣😂🤣Hahahaha..ahsante kwa kuiweka vzr ..hapo Galaxy wanaringa utadhani mwali wa kizaramo ...
Natambua hii wiki ni ngumu sana kwenu makolo vumilia tuHao maofisa wake ashindwe kuwatuma kwa Asec ambao hawana cha kupoteza awatume kwa Jwaneng ambao ni washindani wake kwenye nafsi ya pili!!!??? Mkiwa mmevuta msiwe mnapost aisee.
Hahahahaha..wanamaliza mzunguko wakiwa na maokoto ya kutoshaYaani kwao huu ni msimu wa maokoto. Wasipojenga safari hii ndo basi tena 🤣😂🤣
Ni ngumu sanaKwa huu mpira bebetu bebetu, tiamaji tiamaji wa makolo sijui kama watatoboa [emoji848]
[emoji23][emoji23]Natambua hii wiki ni ngumu sana kwenu makolo vumilia tu
KoloizdadHata asipoicheza bado Jwaneng nao wahitaji nafasi ya pili wafuzu robo so mchezo utakuwa mgumu lakini Jwaneng atakufa nyingi sana.
KoloizdadKama msuli wake wa kiuchumi ndio ule uliofanya akafungwa na Simba Sc mara mbili mfululizo hapa Tz, sidhani kama una madhara.
Kumbe na wewe unaendeshwa na baba'ko Priva? Kwasababu kaja na hilo neno basi na wewe umeshalibeba.Koloizdad
Ngoja tuone kama itakuwa hivyo [emoji23]Wanasema waje tu Coz wako tayari kugongwa na Simba.
Kwahiyo camera za Azam zikiwa na ukungu basi kwa akili yako unadhani na watazamaji wa uwanjani wataona ukungu? Au unadhani hao waliotumwa wataangalia kwenye tv? Hao waliotumwa watakuwa ni sehemu ya watazamaji uwanjani. Sasa kama ingekuwa leo kufuatilia kwenye tv unadhani hii mechi Morocco hairushwi? Hao wafatiliana watakuwa uwanjani ili kuangalia matukio na ishara mbalimbali uwanjaniHamna, Galaxy ndiyo wanaenda kula hela ya pande zote. Wanachukua pesa ya Wydad wakimuahidi watakaza halafu watachukua pesa ya Simba wakiahidi watalegeza. Mwisho wa siku kiwango kitaamua au vigezo vingine.
Wydad wametuma watu wao ili kuangalia kama kutakuwa na viashiria vya Simba kupanga matokeo waje kushtaki au kumpa pressure tu Simba wacheze fair wakati hata wao wamepitisha mlungula.
Wanasahau kuwa muhuni ni rahisi kuliko kuwa mtakatifu, hali ikiwa ngumu tegemea camera za Azam kupata kaukungu fulani au kuanza kupiga shot kama za Bongo Movie huku mipango ikiendelea kufanywa kwenye pitch 🤣😂🤣
Kabisa mkuu... makolo hawachomokiUtopolo b wanakufa 3-0
Makolo Wabutuliwe tu hakuna namna