Hamna, Galaxy ndiyo wanaenda kula hela ya pande zote. Wanachukua pesa ya Wydad wakimuahidi watakaza halafu watachukua pesa ya Simba wakiahidi watalegeza. Mwisho wa siku kiwango kitaamua au vigezo vingine.
Wydad wametuma watu wao ili kuangalia kama kutakuwa na viashiria vya Simba kupanga matokeo waje kushtaki au kumpa pressure tu Simba wacheze fair wakati hata wao wamepitisha mlungula.
Wanasahau kuwa muhuni ni rahisi kuliko kuwa mtakatifu, hali ikiwa ngumu tegemea camera za Azam kupata kaukungu fulani au kuanza kupiga shot kama za Bongo Movie huku mipango ikiendelea kufanywa kwenye pitch 🤣😂🤣