Galilaya ipo kaskazini mwa Israel na kusini MWA Lebanon ya sasa.Wana theology,wataalam wa biblia na wale Wana historia napenda kuwasilisha swali kwenu nikitaka kujua mji wa galilaya ambao umetajwa kwenye biblia kwa Sasa uko katika nchi Gani na huo mji kwa sasa unaitwaje?
Miji kama ya nazalete,sodoma na gomora n.k iko katika nchi Gani na kwa Sasa inaitwaje?maswali ni mengi naimani mengine yataibuka kulingana na Comment za wadau.
Goligota ipo ni mahali ambapo Yesi alisurubiwa wakati wa Mateso.Galilaya,nazareth sijui goligota haya yote ni majina ya kirumi lazima yatakua israel...
Sodoma na gomora ilikua israel pia kwenye peninsula ya al lisam,lakini mungu aliitawanya peninsula hiyo na maji yakalink mto jordan....
Mpaka leo hakuna ushuhuda wa nchi kamili kama ilivyo kwa babel tower...
Ila THE COLLOSIEM ipo rome-italy,njia panda ya vandetta kama unaenda mineapolis bay...
Kwahiyo bethrehemu kwa Sasa iko katika nchi ya Saudi Arabia?Goligota ipo ni mahali ambapo Yesi alisurubiwa wakati wa Mateso.
Ukiwa Mjini Yerusalemu au Old Yerusalemu ukitaka kuingia kwenye Temple Mount pitia Gate la Damascus utakutana na Jengo la zamani linalozinguka Kaburi la Yesu.
Pembeni mwake kuna ukuta mrefu ambazo ndio Goligota.
Ikitoka hapo mtaa wa Damascus kulia kwako kuelekea kusini utakutana na Njia ya kwenda Bethrehemu Mjini wa Saudi, hapo kuna Junction kulia kwake kuna Hotel Kubwa Sana maalufu hapo Jerusalem linaitwa King David House
Kwahiyo bethrehemu kwa Sasa iko katika nchi ya Saudi Arabia?
Ni Nini hasa kilipelekea miji mingi kubadilishwa majina wakati historia katika biblia ilikua ishaandikwa miaka kadhaa nyuma iliyopita?Hapana. Bethlem ipo West Bank ya sasa.
Imagine Tanganyika ina miaka tu na imeshabadilika kuwa Tanzania vipi mini iliyokuwepo miaka zaidi ya 2000??Ni Nini hasa kilipelekea miji mingi kubadilishwa majina wakati historia katika biblia ilikua ishaandikwa miaka kadhaa nyuma iliyopita?
Nadhani umefata narration ya Damascus, huu ni Mtaa ndani ya Old Jerusalem nilikuwa naelekea Access yake kwenye Temple Mount ya Hekalu la Suleiman au Al Aqsa Masque ilipoKwahiyo bethrehemu kwa Sasa iko katika nchi ya Saudi Arabia?
Kinachosababisha majina kubadilika ni Tawala.Ni Nini hasa kilipelekea miji mingi kubadilishwa majina wakati historia katika biblia ilikua ishaandikwa miaka kadhaa nyuma iliyopita?
We jamaa hahahaSodoma ndio Dodoma ya sasa, ndio maana bunge la walevi limewekwa kule
Jina halijabadirika linaitwa hivyohivyo Galilee