Dah, hv waafrika ilikuaje kwani?!!!!
Aisee, wako vizuri sana!!Tunapangilia vibaya majiji yetu. Hata jiji la dar es Salam Lina maghorofa mengi but walipangilia vibaya
Wenzetu wako ivi. Mfano Kama ili ni Eneo la nyuma za ghorofa zitakuwa ghorofa tu huwezi kukuta nyumba ya chini
Lakini afrika tunajenga tu bila mpangilio
Hebu rudia tenaPanataka kufanana na Mafinga.
Canada iliyoko G7 hawajatuacha kiuchumi? Uko serious au mizaha?Nilichokiona Canada hawajatuacha mbali kiuchumi. Sema sisi wanajeshi wetu hawana akili. Baasi!
Ukiingia maporini unajiokotea matunda, chimba mizizi, rina asali, maisha yanasonga masaburi nje nje hakuna matata.Wazungu walitia akili na baridi ndio ikawafanya hivyo, maana baridi hakuna kuomba poo, aidha kukubali kufa au kuamua kupambana, sisi nyani tuna bahati sana na jua letu lakini ndio lilitufanya wajinga
Wana laana ya milele.Dah, hv waafrika ilikuaje kwani?!!!!
Afu wanaenda huko kila mwaka kujifunzaMaafisa mipango miji wanazingua, hawana short term plans wala long term plans, miji inajiotea tu Kama uyoga unategemea ninii
Hata leo tuhamishiwe huko na wao waje huku, ndani ya mwaka 1 tutakuwa tumeachwa mbaliWazungu walitia akili na baridi ndio ikawafanya hivyo, maana baridi hakuna kuomba poo, aidha kukubali kufa au kuamua kupambana, sisi nyani tuna bahati sana na jua letu lakini ndio lilitufanya wajinga