Gallery ya jiji la Calgary Aliberta Canada

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
IMG_0861.jpg

IMG_0860.jpg

IMG_0858.jpg

IMG_0857.jpg

IMG_0859.jpg
 
Attachments

  • IMG_0845.png
    IMG_0845.png
    302.4 KB · Views: 17
Dah, hv waafrika ilikuaje kwani?!!!!

Tunapangilia vibaya majiji yetu. Hata jiji la dar es Salam Lina maghorofa mengi but walipangilia vibaya
Wenzetu wako ivi. Mfano Kama ili ni Eneo la nyuma za ghorofa zitakuwa ghorofa tu huwezi kukuta nyumba ya chini
Lakini afrika tunajenga tu bila mpangilio
 
Aisee, wako vizuri sana!!
 
Maafisa mipango miji wanazingua, hawana short term plans wala long term plans, miji inajiotea tu Kama uyoga unategemea ninii
 
Nilichokiona Canada hawajatuacha mbali kiuchumi. Sema sisi wanajeshi wetu hawana akili. Baasi!
 
Hahahahahah [emoji23][emoji81][emoji28] Canada Ina trilioni 2:3
TZ bilioni 68$ [emoji23][emoji81][emoji28]
 
Wazungu walitia akili na baridi ndio ikawafanya hivyo, maana baridi hakuna kuomba poo, aidha kukubali kufa au kuamua kupambana, sisi nyani tuna bahati sana na jua letu lakini ndio lilitufanya wajinga
 
Ukiingia maporini unajiokotea matunda, chimba mizizi, rina asali, maisha yanasonga masaburi nje nje hakuna matata.
 
Wazungu walitia akili na baridi ndio ikawafanya hivyo, maana baridi hakuna kuomba poo, aidha kukubali kufa au kuamua kupambana, sisi nyani tuna bahati sana na jua letu lakini ndio lilitufanya wajinga
Hata leo tuhamishiwe huko na wao waje huku, ndani ya mwaka 1 tutakuwa tumeachwa mbali
 
Kwa Tanganyika ardhi haijawahi kuwa strategic resource. Ardhi kapewa rais ili aichie wananchi wajinga wajipangie kiholela wanachoweza mpaka wafe nayo ikiwa haina tija.

Nchi imeoza.
 
Back
Top Bottom