Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
TEC na Shura ya Maimamu waongeze sauti, huu upuuzi ukome. Hivi madehebu mengine hawaoni aibu wenzao wakiwa mstari wa mbele kupigania haki wao wakibaki kuwa chawa?🤔🤔
====
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameahidi kuchangia uboreshaji wa miundombinu katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Sinoni mkoani Arusha.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza wakati wa Ibada ya Pasaka iliyofanyika Aprili 20, 2025, Gambo amesema amechangia Shilingi milioni 1, ambapo Shilingi 500,000 zitakwenda kwenye uboreshaji wa sakafu ya kanisa na Shilingi 500,000 kwa ajili ya jiko.
Mbali na mchango huo wa kifedha, Gambo pia ameahidi kutoa bati 50 za migongo mipana kutoka Afrika Kusini kwa ajili ya ujenzi wa jengo la watoto la kuabudia.
“Na bati zenyewe zitakuwa zile za Afrika Kusini, za migongo mipana maana kanisani lazima upeleke kilichonona. Mengine tutazidi kushauriana na kushirikiana,” amesema Gambo.