Mrisho Gambo mbunge wa Arusha mjini afunguka kuhusu milioni 300 za bodaboda alizotuhumiwa kukwapua awabwagia zigo waliotoa pesa kwenye akaunti benki
Asema wao ndio wawajibishwe sio yeye na atatoa ushirikiano wadakwe
Nzigo la gunia la misumari
anawatwisha wao yeye anakwepa mshale kama vile hahusiki kabisaaaa akiwa na macho makavu
Msikilize hapa akikwepa mshale
View: https://youtu.be/a0OuYWo-CGc?si=u6pGBngRN2QR0fjM