Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 753
- 1,812
Maendeleo gani ataleta mbona Tanzania ina kila kituMkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema anawasubiri wazee wampe ridhaa kugombea Ubunge Arusha Mjini
Hata hivyo ameeleza kuwa kwa sasa hana Mpango wa kugombea Ubunge, tofauti na ambavyo imekuwa ikidhaniwa na baadhi ya Watu wakiwemo Wanasiasa wa Mkoa wa Arusha.
Gambo amesema kazi ya kuleta maendeleo anayoifanya katika Mkoa wa Arusha, ni katika Utekelezaji wa kawaida wa majukumu aliyopewa na Mamlaka yake ya Uteuzi, ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hata hivyo amesema hatapuuza maombi ya Wazee, kama watamuomba kugombea Ubunge.
View attachment 1325060
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Mangula msikilize huyo, anataka uongee.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema anawasubiri wazee wampe ridhaa kugombea Ubunge Arusha Mjini
Hata hivyo ameeleza kuwa kwa sasa hana Mpango wa kugombea Ubunge, tofauti na ambavyo imekuwa ikidhaniwa na baadhi ya Watu wakiwemo Wanasiasa wa Mkoa wa Arusha.
Gambo amesema kazi ya kuleta maendeleo anayoifanya katika Mkoa wa Arusha, ni katika Utekelezaji wa kawaida wa majukumu aliyopewa na Mamlaka yake ya Uteuzi, ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hata hivyo amesema hatapuuza maombi ya Wazee, kama watamuomba kugombea Ubunge.
View attachment 1325060
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtanzania. Ana haki ya kugombea popote. Apime kama anakubalika. La sivyo atakosa vyote.