Uchaguzi 2020 Gambo auweka rehani Ubunge Arusha mjini kwa wazee

Uchaguzi 2020 Gambo auweka rehani Ubunge Arusha mjini kwa wazee

Anaitafuta aibu tuu na bosi wao alishasema ukiwa na tamaa ukikosa unapotelea ukouko hakuna uteuzi tena
 
Mamlaka iliyomteua ilishasema RC au DC yoyote akitangaza nia na akashindwa ubunge hatomteua tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hiyo mamlaka yenyewe itarudi! Subirini mtaona. Bora Gambo we amua kugombea tuu na ukipata sawa , ukikosa famililah! Maana uteuzi hauta kuwepo tena hata uvunje Nazi njia panda maana baada ya hii Tume huru ambayo LAZIMA iundwe kabla ya uchaguzi ndio itakayo sema CCM bye bye!
Jee bila CCM utapata wapi uteuzi? Wakuu wa mikoa na maDC kazi zenu mngezifanya kuwa sio za siasa mngepona lakini mkavaa ukada wa chama basi mtakula nanii yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom