Kwani hiyo mamlaka yenyewe itarudi! Subirini mtaona. Bora Gambo we amua kugombea tuu na ukipata sawa , ukikosa famililah! Maana uteuzi hauta kuwepo tena hata uvunje Nazi njia panda maana baada ya hii Tume huru ambayo LAZIMA iundwe kabla ya uchaguzi ndio itakayo sema CCM bye bye!
Jee bila CCM utapata wapi uteuzi? Wakuu wa mikoa na maDC kazi zenu mngezifanya kuwa sio za siasa mngepona lakini mkavaa ukada wa chama basi mtakula nanii yenu.