Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua" - Mh Mrisho Gambo
Mjinga sana, kwanini hakujiuzulu?
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua" - Mh Mrisho Gambo
Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia waliyokuwa nayo ni kujiudhuru tu ili aone kuwa umekataa kutii, lakini ilikuwa lazima ujiandae kwa mateso(visasi)kwani usingeachwa hivi hivi tu!!!ndio maana wengi wao sasa matendo hayo yanawatesa sana!!ila tulikuwa ktk N.KOREA ya Afrika, MUNGU FUNDI
 
Watu wanataka pesa na uhuru wa kutumia mamlaka yao ya kiuongozi kwa kufuata katiba na sheria.

Ukiwanyima uhuru still watataka pesa. Hakuna ujinga hapo.

Mjinga ni yule ambaye angechagua kupigana vita ambayo anajua angeshindwa.
Kwa mawazo ya kipumbafu kama haya akina Nyerere wasingekomboa nchi mpaka leo. Over
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua" - Mh Mrisho Gambo
Wanaume hawako hivi.
 
Kwa mawazo ya kipumbafu kama haya akina Nyerere wasingekomboa nchi mpaka leo. Over
Nyerere hakupigana vita aliyojua atashindwa ewe babati. Tulipigana kwa makaratasi na tulijua tutashinda maana hata hao waingereza hawakuhitaji sana koloni liendelee.

Ujinga ni kuanzisha na kupigana vita ambayo unajua utashindwa na kupotezwa ikiwezekana
 
Back
Top Bottom