Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Aliharibu sana mifumo ya utawala. Kutokana na kuharibu mifumo ya utawala, alifukuza wawekezaji na kuharibu ajira.
Usiseme tu ameharibu mfumo wa utawala, elezea mfumo wa utawala kabla yake ulikuwaje, wakati yupo ulikuwaje na baada ya yeye kuondoka upoje.? muda mwingine unaweza kukuta namlaumu mtu bila hatia.
 
tusimlaumu gambo, huyu bwana kaamua kua mnafiki ajili ya future yake, yeye mwenyewe aligombana na kila mtu kule bt kwa sasa anajitoa fahamu utadhani sio yeye.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
hapo anajaribu kudondosha jumba bovu kwa DC wake ambaye walikua na beef balaa.
wabongo ukiwajulia haina shida jamaa kutumia nguvu nyingi kujisafisha maana aliyemtegemea hayupo na kwa vile kuna kuna kundi ukiongea kibaya cha awamu tangulizi wanakuunga mkonondo ame chukua njia hiyo kujifanya yeye hakuwa mmojawao ama kweli perception is the mother of deception
 
Ni ulofa kukubali uhuni kama ule wa Jiwe

Ulofa uliopitiliza.

Karata yake ilikuwa ili kupisha kutolewa uvivu, akajifanya kujipanga na wapiga debe, boda boda, machinga na wa namna hiyo wasiokuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo.
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua" - Mh Mrisho Gambo
Gambo hana mshauri mzuri?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia waliyokuwa nayo ni kujiudhuru tu ili aone kuwa umekataa kutii, lakini ilikuwa lazima ujiandae kwa mateso(visasi)kwani usingeachwa hivi hivi tu!!!ndio maana wengi wao sasa matendo hayo yanawatesa sana!!ila tulikuwa ktk N.KOREA ya Afrika, MUNGU FUNDI

Mbona hawakujiuzulu? maana kuna viongozi kibao walikataa teuzi. Na wengine waliomba kujiondoa
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua" - Mh Mrisho Gambo
Huyu gambo akapimwe akili.Kama aliyaona hayo kwanini hakujiuzulu mapema?Gambo ni mnafiki na punguani kabisa.Alipewa ukuu wa mkoa na jpm.Pia ubunge.Lakini bado anamlaumu.

Lilibebwa mgongoni na jpm na bado linasema mgongo wa jpm unanuka.Pumbafu hilo.Mama samia achana na manafiki kama haya.Ukiyachukua na ww yatakusema tu.

Yapo mengi tunayeene.
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua" - Mh Mrisho Gambo
cc Mama Anna Mghwira.
 
Huyu gaidi kwanini asifukuliwe akachomwa moto majivu tukamwaga mto wami. Mbona kila siku visanga alivyofanya ndio kwaanza vinaibuka. Kwa kweli mama nikupongeze sana hujalala kila siku unaziba pancha
PANCHA NYINGINE ZIPO KAMA PANGO LA AMBONI. HAZIZIBIKI. Mama kazi anayo!
 
Back
Top Bottom