Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Lazima tubadilike tuache kuishi kipumbafu mkuuHaya mambo ni kote mkuu, i dont know ukondoo huu unatoka wapi, China kuna watu 1.5b lakini wafanya maamuzi makubwa hawazidi 2000 wapo Beijing, hayajalishi hayo maamuzi yanaumiza watu or no lazima wayatekeleze
Ugali na ubwabwa mkuu!Why hakujiuzulu
Amuulize kilichompata Yule aliekataa uteuz wakeMzee enzi ya mwendazake kujiuzulu ilikuwa ni sawa na kujihukumu kifungo or kifo, kila mtu anapenda maisha yake
DC sabaya alikua anatoka hai anaenda Arusha kuwanyang'anya pesa wafanyabiashara na Hakuna anaehoji.Enzi za utawala wa mwendakuzimu DC wa kakonko kigoma alikuwa anaweza kwenda namtumbo ruvuma au Dodoma na kupiga paranja la kufa mtu na hakuna RC ambaye angeweza hata kukema.
Wewe Mrisho Gambo ulikuwa Snitch hata u-RC wako uliupata kutoka u-DC kwa kumchongea RC Ntibenda, yule Mhaya kwamba anashirikiana na Wapinzani."Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Ujiuzulu uonekane unampinga bwana mkubwa akuue?Mjinga sana, kwanini hakujiuzulu?
Mnafiki mkubwa huyu Gambo apunguze kuendelea kujisafisha kwa kauli zisizohitaji mtu awe na shahada ili amuelewe ana lengo gani."Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Mbona RC wa Kilimanjaro alijihuzulu?Ujiuzulu uonekane unampinga bwana mkubwa akuue?
Sasa ndiyo watu wajue umuhimu wa katiba mpya..nchi hii ukipata Rais chizi anaweza hata kutembeza watu bila nguo...katiba hii inamruhusu na hakuna wa kuguna wala kushitaki popote.Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia waliyokuwa nayo ni kujiudhuru tu ili aone kuwa umekataa kutii, lakini ilikuwa lazima ujiandae kwa mateso(visasi)kwani usingeachwa hivi hivi tu!!!ndio maana wengi wao sasa matendo hayo yanawatesa sana!!ila tulikuwa ktk N.KOREA ya Afrika, MUNGU FUNDI
Hao wengi ni kina nani?aliyekataa uteuzi wa jiwe ni mmoja tu tena ya u DC, ila maswahibu yaliyomkuta , unayajua?je kwa ambaye angejiuzuru kisa kusimamia msimamo wake, uliotofauti na jiwe, kingemkuta nini??Mbona hawakujiuzulu? maana kuna viongozi kibao walikataa teuzi. Na wengine waliomba kujiondoa
Mbona hawakujiuzulu? maana kuna viongozi kibao walikataa teuzi. Na wengine waliomba kujiondoa
Why hakujiuzulu
ndio tatizo hilo la nchi kuendeshwa pasipo kufuata katiba na sheria zake,Mwendazake ndio chanzo cha yote hayo na si jambo la kuficha ukweli huo huo"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Hao wengi ni kina nani?aliyekataa uteuzi wa jiwe ni mmoja tu tena ya u DC, ila maswahibu yaliyomkuta , unayajua?je kwa ambaye angejiuzuru kisa kusimamia msimamo wake, uliotofauti na jiwe, kingemkuta nini??
Kwa CCM, kukubali kuruhusu mchakato wa katiba mpya ni ngumu sana, ile ya walioba ?kwani katiba hii mbovu ndio inayowalinda!!unasikia jitu linasema eti Mbowe ndio aliyeharibu mchakato kwa kuwatoa wapinzani kwenye bunge la katiba?!!katiba gani ile ya kihuni baada ya kuyatoa mapendekezo muhimu ya kuwatetea wananchi!!hata kama mama akiwa na nia ya dhati kwa hili la katiba ni gumu sana kwani huko nyuma kuna mijitu haitaki kabisa kwani yataona chama kinaenda kufa!!Sasa ndiyo watu wajue umuhimu wa katiba mpya..nchi hii ukipata Rais chizi anaweza hata kutembeza watu bila nguo...katiba hii inamruhusu na hakuna wa kuguna wala kushitaki popote.
Wangemfanya Mwendazake kwa visasi vya awamu ileMjinga sana, kwanini hakujiuzulu?
Magufuli ndio chanzo cha mitafaruku yote nchini.
Aliivuruga nchi kwa miaka zaidi ya mitano . Itajengwa kwa zaidi ya miaka 5 tena.
Gambo ana familia mkuuMjinga sana, kwanini hakujiuzulu?