Kwa hiyo na makonda alitafuta kazi nyingine sio, utetezi shallow kabisa huu. Jamaa anatafuta sympathy baada ya kuona upepo umegeuka wakati nae alikuwa Mungu mtu zama zileNo kuna option nyingi ya namna ya kuachana na kazi unayoona hustahili,mojawapo ni kutafuta kaxi ingine kama alivyofanya Gambo,unamuachia boss akufukuze ,,sasa ukiacha ghafla eti najiuzulu juu siridhiki na amri nazopewa,usiku kina Sabaya hawa hapa,,,unaishia ndani ya salfet
imeisha hiyo
Usimwamini mwana CCMIla ukimwambia Gambo katiba ibadilishwe ili hayo yasitokee tena huko mbeleni, utashangaa hataki!
Aisee! Mambo hadharani!"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Angethubutu kujiuzulu angebambikiwa kesi ya madawa ya kulevya!Why hakujiuzulu
Huu ndio ukweli. Wana siasa ni watu wa trend yaani ikifika time kutetea ushoga ni trend watajoin na kusupport. Jamaa alikula keki ya nchi sasa anajifanya lialia baada ya kugundua 2025 ndio kifo chake kisiasatusimlaumu gambo, huyu bwana kaamua kua mnafiki ajili ya future yake, yeye mwenyewe aligombana na kila mtu kule bt kwa sasa anajitoa fahamu utadhani sio yeye.
Kwa sabau meko kadanja ndo maana sasa anapata nafasi kuongea huo ujinga ujinga"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Asingebaki salama, hakuna asiyejua roho ya visasi aliokua nayo mwendazake.Mjinga sana, kwanini hakujiuzulu?
Na wakati ule Bora uwe ndani ya System uwe salama, kuliko utokeAsingebaki salama, hakuna asiyejua roho ya visasi aliokua nayo mwendazake.
Haiwezekani... there's something somewhere not right.Na sisi ni wajinga sana kwanini mtu mmoja atuzidi akili watu 60M?
Hayo yanatoka moyoni kweli au ndio kazi ya kumtosa mungu wa Burigi ili kujisafisha NDO imepamba moto?"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Mimi c mpenzi mkubwa wa mrisho gambo lakini nakubaliana na anayoyasema kwani tuliona kilimanjaro ambapo sabaya alikuwa na mamlaka kumzidi mama mwigira mkuu wa mkoa"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Mbona hawakujiuzulu? maana kuna viongozi kibao walikataa teuzi. Na wengine waliomba kujiondoa
Kichekesho chenyewe sasa kama ungekuwa Arusha ni huyu huyu gambo ndio angekushughulikia pengine hata Magu angekuwa hajui ila chamoto ungekionaWatu hawakumwogopa yeye, waliogopa vyombo vya dola alivyovishikilia, kama ulikuwa unamfuatilia kwa karibu alikuwa anajipendekeza sana kwa vyombo vya dola
Mkuu unajua raha na privilege ya kuwa Rais wa mkoa? Kila kitu buree. Usafiri ndani ya V8. Makazi hata nzi hawakanyagi. Viwanja vya gharama, mavazi serikali.Why hakujiuzulu
Tungefanyaje wakati yeye alikuwa na Dola??Na sisi ni wajinga sana kwanini mtu mmoja atuzidi akili watu 60M?
Ajabu sana aiseeVijana wa Mwendazake sasa wameamua kuweka gogo kabisa kwenye kaburi la baba yao!! Huwezi amini kabisa hii mambo... ni ngumu.
Acha uzushiAlifukuzwa hakujihuzulu
Kwahiyo Bashite nae alifukuzwa??Alifukuzwa hakujihuzulu