Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Huyu Gambo anajipaka matope mwenyewe. Hafai ata kuwa balozi wa mtaa wa nyumba kumi. Tukiwa na akina Gambo 10 tu, nchi itakuwa ya ovyo sana. Mbona alinyamaza?
 
No kuna option nyingi ya namna ya kuachana na kazi unayoona hustahili,mojawapo ni kutafuta kaxi ingine kama alivyofanya Gambo,unamuachia boss akufukuze ,,sasa ukiacha ghafla eti najiuzulu juu siridhiki na amri nazopewa,usiku kina Sabaya hawa hapa,,,unaishia ndani ya salfet
Kwa hiyo na makonda alitafuta kazi nyingine sio, utetezi shallow kabisa huu. Jamaa anatafuta sympathy baada ya kuona upepo umegeuka wakati nae alikuwa Mungu mtu zama zile
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Aisee! Mambo hadharani!
 
tusimlaumu gambo, huyu bwana kaamua kua mnafiki ajili ya future yake, yeye mwenyewe aligombana na kila mtu kule bt kwa sasa anajitoa fahamu utadhani sio yeye.
Huu ndio ukweli. Wana siasa ni watu wa trend yaani ikifika time kutetea ushoga ni trend watajoin na kusupport. Jamaa alikula keki ya nchi sasa anajifanya lialia baada ya kugundua 2025 ndio kifo chake kisiasa
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Kwa sabau meko kadanja ndo maana sasa anapata nafasi kuongea huo ujinga ujinga
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Hayo yanatoka moyoni kweli au ndio kazi ya kumtosa mungu wa Burigi ili kujisafisha NDO imepamba moto?
Wote waliokumbatia unafiki na hila wakati wake, shetani hawezi kuja kuwaacha wakiwa na amani. Watajikuta wanashindana kuvuana na KUJIVUA nguo hadharani kama wachawi.
AMEN
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua". Mh Mrisho Gambo
Mimi c mpenzi mkubwa wa mrisho gambo lakini nakubaliana na anayoyasema kwani tuliona kilimanjaro ambapo sabaya alikuwa na mamlaka kumzidi mama mwigira mkuu wa mkoa
 
Mbona hawakujiuzulu? maana kuna viongozi kibao walikataa teuzi. Na wengine waliomba kujiondoa
Watu hawakumwogopa yeye, waliogopa vyombo vya dola alivyovishikilia, kama ulikuwa unamfuatilia kwa karibu alikuwa anajipendekeza sana kwa vyombo vya dola
Kichekesho chenyewe sasa kama ungekuwa Arusha ni huyu huyu gambo ndio angekushughulikia pengine hata Magu angekuwa hajui ila chamoto ungekiona
 
Why hakujiuzulu
Mkuu unajua raha na privilege ya kuwa Rais wa mkoa? Kila kitu buree. Usafiri ndani ya V8. Makazi hata nzi hawakanyagi. Viwanja vya gharama, mavazi serikali.

Ndo uje ujiuzuru kwa sababu aliyekuteua ni mjinga? Si umwache na maujinga yakeee
 
Back
Top Bottom