MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Hakuna siku roho iliniuma kama siku ambayo Mhe. Lema alileta wafadhili watujengee hospital yakina mama na watoto lakini huyu jamaa anajiita Gambo alikataa kuweka Jiwe la msingi
Eti kisa ni upinzani umeleta hayo maendeleo yaani nilimuona katika watu bogus na wajinga katika Taifa hili huyu nikilaza wa kwanza kabisa.
Yaani unakataa huduma ya afya tena especially kwakina mama na watoto yaani huo ulikuwa niushetani wa aina gani....akili zake zilivyo kisoda anashindwa kuelewa kwamba ile hospital inawasaidia watanzania nasio wanachama wa Chadema peke yake.