Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Nimefuatilia mjadala wako Gambo, unayo hoja na ukweli… changamoto kubwa ninayoiona ni CONFIDENCE and DUE DILIGENCE!
Hata Usimamaji wako….ni kama kuku wa Broiller anaeogopa mwanga wa jua.
Hatua uliyofikia hupambani tena na Makonda, bali unapambana na Mchengerwa pamoja na Boss wake.
Nilishawahi kusema, moja ya Wizara ya Hovyo Tanzania ni TAMISEMI… ilikuwa ya hovyo chini ya Jafo na sasa ni ya hovyo chini ya Mohammad Mchengerwa. Ni Wizara yenye UFISADi Na Madudu kuliko ofisi yoyote ya Umma… Ajira yangu ya kwanza ilikuwa pale Kagera kama MD II chini ya TAMISEMI. Nilifanya kazi just one week , the following week nikasepa bila kuaga… niliona kabisa hakuna maisha na ninaua Carrier path yangu.
Mchengerwa ni msagia kunguni viongozi wenzie kwa mkwe wake and he is Mr right . Nepotism ndani ya Ikulu… familia moja kupeana Ofisi za Umma, what a shame !
Ukimsikiliza Mchengerwa unaona kabisa kuna gap….anasema Taarifa za BOQ( Bill of Quantity) na measurement zilikosewa kuingizwa kwenye NesT mfumo wa PPRA wa Ununuzi wa Umma na hivyo desk officer alichanganya measurement ….. sehemu ya 200 ilikuwa inawekwa 1800 kwenye UoM and so forth.
Wizi wa Serikali hasa TAMISEMI ni kucheza na figure. Sehemu ya 200 inaongezwa 0 mbele … imeenda hiyo!
BOQ ni structured document na kwenye Nest kuna layers of Approval mpaka document iwe implemented ..
Inamaana layers zote za approval from Officer to Principal Officer to Manager to director and Accounting Officer hawakunotice hitilafu mpaka document inafika kwa suppliers kupitia NesT ?
hapa ilikuwa inaenda kupigwa hela ndio maana Waziri kalibeba hili..,.
Maafisa wamefanya whistleblower kwa Mbunge Gambo…Changamoto kubwa data presenter hakufanya critical analysis , due diligence na reasoning kwa utulivu….
Umeshindwa hata kufanya simple computation kujua 800M imepatikanaje kwenye Calculatin…. ? Magazijuto pia ni tatizo😩What a shame .. you could have detected data errors , Boy !! ….
. Hawa ndio Wabunge wa JPM na wa CCM …
The Whistleblowing went to the wrong person!
Dr. CHEUSI Kama mada hajaipenda… huwa ana viswali vya kukutoa kwenye reli if you are not smart enough….…
Data ni za kweli, wizi umetokea kweli na hakuna hitilafu kwenye Ujazaji…. It was intended to manipulate ….changamoto ni Presenter wa Taarifa was too subjective…. and immature
Dr Megalodon Mushi
Canada