DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Yeah!...vita ya kifamilia hii.Watoto wa mama mmoja, sema Kuna mtoto pendwa na ndio shida inaanzia hapo
Tushike jembe tukalime. Sema mtoto mmoja ana uhakika hata mambo yakienda vibaya analamba uteuziYeah!...vita ya kifamilia hii.
Ulipozuia kutokujengwa hosptali ya mama na Mtoto kisa Lema ndo alileta wafadhili basi hiyo karma haiwezi kukuacha salama utafutwa katika ulimwengu wa siasa
Sikio la kufa halisikii dawaUlipozuia kutokujengwa hosptali ya mama na Mtoto kisa Lema ndo alileta wafadhili basi hiyo karma haiwezi kukuacha salama utafutwa katika ulimwengu wa siasa
ππππNchi ilipofikia mmh!View attachment 3388837
πππNchi ilipofikia mmh!View attachment 3388837
πππTushike jembe tukalime. Sema mtoto mmoja ana uhakika hata mambo yakienda vibaya analamba uteuzi
HakikaKarma pia ya kula pesa za rambirambi ya watoto wa lucky vicent ..huyu jamaa ni hao waganga na makafara na milungula kwa wajumbe yanamsaidia ila this time anakula mweleka
Nakazia karma noma, na ndo imetoka hiyoUlipozuia kutokujengwa hosptali ya mama na Mtoto kisa Lema ndo alileta wafadhili basi hiyo karma haiwezi kukuacha salama utafutwa katika ulimwengu wa siasa
AhaaaNakazia karma noma, na ndo imetoka hiyo
Amefutwa
Haha ndio hivyo mkuu.Hakika