Pre GE2025 Gambo Vs Makonda: Gambo asema anayetaka Ubunge Arusha aje uwanjani aone kama ngoma ya kitoto inakesha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo.

“Kama kuna mtu anataka ubunge, asubiri utaratibu ufike, ajitokeze uwanjani. Wananchi wa Arusha Mjini wanajua nani anawatumikia. Kuna watu wanatumia kivuli cha mamlaka zao kujaribu kunivuruga, lakini hatuna wasiwasi kwakuwa ni mzoefu kwenye siasa,”

Pia soma
- Pre GE2025 - Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
- Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?

Naona amejibu mashambulizi kama ilivyo kawaida yake. Uzuri wa Gambo hajawahi kuwa mnyonge. Ukimpiga ngumi ya tumbo, na yeye anakubabua ngumi ya uso.
 
Wale wapuuzi madiwan na njaa zao wakajua kulinda Msosi waoo wamkosoe

NAKWAMBIA MAKONDA akijichanganya tu Mwaka huu Tena uniunge

Ndioo kapotea siasa
 
Ila Gambo acha apimiwe kibaba kile kile alichowapimia wenzake.

Akiwa DC anajua alichomfanyia RC wake na akiwa RC anajua alichokifanya.
 
Wale wapuuzi madiwan na njaa zao wakajua kulinda Msosi waoo wamkosoe

NAKWAMBIA MAKONDA akijichanganya tu Mwaka huu Tena uniunge

Ndioo kapotea siasa
Kama hujui, hao madiwani ndio wenye watu (wapiga kura) huko kwenye kata zao! Bado huijui siasa!
 
Naona amejibu mashambulizi kama ilivyo kawaida yake. Uzuri wa Gambo hajawahi kuwa mnyonge. Ukimpiga ngumi ya tumbo, na yeye anakubabua ngumi ya uso.
Kajamaa ka hovyo tu.
Ni ngumu Gambo kuziweza rafu za makonda, Aombe Mungu Makonda ahamishwe au apeww nafasi nyingine...Makonda ni mhalifu ana mbinu chafu nyingi..

Mwisho; Gambo naye ahudhurie vikao vya madiwani
 
Kama hujui, hao madiwani ndio wenye watu (wapiga kura) huko kwenye kata zao! Bado huijui siasa!
Wee ndiee. HUJUI SIASA mkuu

Ccm Wana UWEZO WA kumrudisha. HUYO Gambo msijiamini sanaaaaa
Sanaa.....Niko pale kwa wakala.....
 
Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo.

“Kama kuna mtu anataka ubunge, asubiri utaratibu ufike, ajitokeze uwanjani. Wananchi wa Arusha Mjini wanajua nani anawatumikia. Kuna watu wanatumia kivuli cha mamlaka zao kujaribu kunivuruga, lakini hatuna wasiwasi kwakuwa ni mzoefu kwenye siasa,”

Pia soma
- Pre GE2025 - Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
- Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?
View attachment 3249362
AMEJIBU vizurii kabisaaa na nawaambia AIBU ya kivukoni inarudi Arusha mthubutu mwoneee
 
Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo.

“Kama kuna mtu anataka ubunge, asubiri utaratibu ufike, ajitokeze uwanjani. Wananchi wa Arusha Mjini wanajua nani anawatumikia. Kuna watu wanatumia kivuli cha mamlaka zao kujaribu kunivuruga, lakini hatuna wasiwasi kwakuwa ni mzoefu kwenye siasa,”

Pia soma
- Pre GE2025 - Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
- Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?
View attachment 3249362
Ni muda wa Godbless Lema kurudi katika jimbo lake
 
Subiri mda msitunie vibaya madaraka
Kampeni azijaanza mnaanza kutaja wagonbeaaa

KATIBU WA CCM HAWA CHAWA

TUMA KAMATI WAHUSIKA WOTEE WAPEWE ADHABU KALI IWE FUNDISHO KWA WENGINE
 
Kama hujui, hao madiwani ndio wenye watu (wapiga kura) huko kwenye kata zao! Bado huijui siasa!
Nimemsikiliza Gambo ni mjinga. Alipaswa ajue cha kusema na siyo kuwa kashfu madiwani kusema eti hawapigi kura
 
Wee ndiee. HUJUI SIASA mkuu

Ccm Wana UWEZO WA kumrudisha. HUYO Gambo msijiamini sanaaaaa
Sanaa.....Niko pale kwa wakala.....
Kwani Makonda naye katoa kauli yoyote kuhusu hilo? Mbona ni kama amekurupuka kuwajibu madiwani?
 
Naona makonda akirudia kosa la Kigamboni,safari hii Lema Agombee ,jimbo litakua Rais sana
 
Mabingwa wa siasa za majitaka wamekutana,ooh hapa pazuri kila mmoja anaanza kuonyesha rangi yake na tamaa zake.Zile sinema zao watu wa Arusha wameshazifahamu na pengine kuzichoka
 
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amejibu kilichotokea jana February 24,2025 kwenye baraza maalumu la jiji la Arusha la kupitisha bajeti baada ya madiwani kumtaka Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini muda utakapofika

Gambo kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari amesema kwamba kwa sasa yeye ndiye mbunge halali wa jimbo na kama kuna mtu ana tamani asubiri muda ufike waingie uwanjani aone kama ngoma ya kitoto kama ina kesha

“Tuna uzoefu na mambo ya kisiasa wala hatuna wasiwasi wowote na ukiona mtu anatafuta madiwani anawatengeneza wamuombe agombee madiwani wana nafasi yao wanaweza kumchagua mwenyekiti wa Halmashauri au wakamchagua Meya ila mbunge anachaguliwa na wajumbe pamoja wananchi,kama kuna yeyote yuko tayar tunamkaribisha tuko imara”-Gambo

Back
Top Bottom