Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo.
“Kama kuna mtu anataka ubunge, asubiri utaratibu ufike, ajitokeze uwanjani. Wananchi wa Arusha Mjini wanajua nani anawatumikia. Kuna watu wanatumia kivuli cha mamlaka zao kujaribu kunivuruga, lakini hatuna wasiwasi kwakuwa ni mzoefu kwenye siasa,”
Kajamaa ka hovyo tu.
Ni ngumu Gambo kuziweza rafu za makonda, Aombe Mungu Makonda ahamishwe au apeww nafasi nyingine...Makonda ni mhalifu ana mbinu chafu nyingi..
Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo.
“Kama kuna mtu anataka ubunge, asubiri utaratibu ufike, ajitokeze uwanjani. Wananchi wa Arusha Mjini wanajua nani anawatumikia. Kuna watu wanatumia kivuli cha mamlaka zao kujaribu kunivuruga, lakini hatuna wasiwasi kwakuwa ni mzoefu kwenye siasa,”
Gambo amesema kuwa yeye ndiye Mbunge halali kwa muda huu na yeyote anayehitaji nafasi hiyo anapaswa kusubiri muda ufike kisha kufata taratibu zote za kuwania nafasi hiyo na sio vinginevyo.
“Kama kuna mtu anataka ubunge, asubiri utaratibu ufike, ajitokeze uwanjani. Wananchi wa Arusha Mjini wanajua nani anawatumikia. Kuna watu wanatumia kivuli cha mamlaka zao kujaribu kunivuruga, lakini hatuna wasiwasi kwakuwa ni mzoefu kwenye siasa,”
Mabingwa wa siasa za majitaka wamekutana,ooh hapa pazuri kila mmoja anaanza kuonyesha rangi yake na tamaa zake.Zile sinema zao watu wa Arusha wameshazifahamu na pengine kuzichoka
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amejibu kilichotokea jana February 24,2025 kwenye baraza maalumu la jiji la Arusha la kupitisha bajeti baada ya madiwani kumtaka Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini muda utakapofika
Gambo kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari amesema kwamba kwa sasa yeye ndiye mbunge halali wa jimbo na kama kuna mtu ana tamani asubiri muda ufike waingie uwanjani aone kama ngoma ya kitoto kama ina kesha
“Tuna uzoefu na mambo ya kisiasa wala hatuna wasiwasi wowote na ukiona mtu anatafuta madiwani anawatengeneza wamuombe agombee madiwani wana nafasi yao wanaweza kumchagua mwenyekiti wa Halmashauri au wakamchagua Meya ila mbunge anachaguliwa na wajumbe pamoja wananchi,kama kuna yeyote yuko tayar tunamkaribisha tuko imara”-Gambo