Pre GE2025 Gambo: Wapinzani wamependekeza sheria za Uchaguzi zirekebishwe, tumewapa miswada nasi bungeni tutaipitisha ili tuwaone 2025 Watalia tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uzuri Ganbo hatarudi bungeni 2025.....haisumbuiii hata
 
Huyu si ndo wale waliopita kwa uchafuzi wa 2020 wa mwenda zake. Anasahau kuwa Arusha ni kati ya majiji ya watu wanaojielewa. Ngoja aone 2025 kitakachomkuta
 
ccm wote ni ziro minded maana hiyo miswada watapisha yale wanayotaka wao km walivyofanya kwenye mchakato wa katiba mpya

..Ccm walipitisha katiba mpya wanayoitaka halafu wakaitupilia mbali.

..sasa hivi wamejisahaulisha kabisa. wanadai wapinzani walikwamisha katiba mpya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…