Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri Ganbo hatarudi bungeni 2025.....haisumbuiii hataMbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa
Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni
Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo
Source: Clouds TV
Huyu si ndo wale waliopita kwa uchafuzi wa 2020 wa mwenda zake. Anasahau kuwa Arusha ni kati ya majiji ya watu wanaojielewa. Ngoja aone 2025 kitakachomkutaMbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa
Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa miswada wanapitia na maoni yao yataletwa bungeni
Sasa tuone baada ya kuwagaragaza vilivyo 2025 watasingizia nini tena, mimi nawashauri wakubali tu kwamba Wananchi hawawataki, amesisitiza mh Gambo
Source: Clouds TV
MwenyeweSTUPID
ccm wote ni ziro minded maana hiyo miswada watapisha yale wanayotaka wao km walivyofanya kwenye mchakato wa katiba mpya