Gamboshi sitaisahau

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,724
Reaction score
1,464
nilifika hapo 2006 kwa matatizo binafsi kikazi, chaajabu wenyeji wakaniuliza 'umefiwa' nikawajibu 'kwani vipi!?' wakanijibu 'uliza huo mkwaju mbele ya shule ya msingi gambosi{inavyosomeka kisukuma}' mahala pa kulala naongozwa na jogoo mwekundu!
 
nilipata pancha na pikipiki mara 8 wakati wa kurudi magu! na njia ni nzuri tu!
 
nilipofika kwenye kesi kwenye kampuni, yule mzungu alinikuta na vidhibiti akafukuzwa kazi yeye! na ni kweli nilikuwa nimejichukulia{usiseme nimeiba!} maana madini ni yetu! watanzania
 
nilipofika kwenye kesi kwenye kampuni, yule mzungu alinikuta na vidhibiti akafukuzwa kazi yeye! na ni kweli nilikuwa nimejichukulia{usiseme nimeiba!} maana madini ni yetu! watanzania
hahaaa aiseee ..kwahiyo ulichukua haujaiba...
daahh wabongo nyokooo
 
mmeanza na uwongo wenu ..kuna mtu alishawahi kuniongopea mnooo kuhusu gamboshi hahaa daahh sitaki kukumbuka aisee
 
mmeanza na uwongo wenu ..kuna mtu alishawahi kuniongopea mnooo kuhusu gamboshi hahaa daahh sitaki kukumbuka aisee
KUAMBIWA SI KOSA,PRACTICALLY FIKA UJIONEE!
 
Saa hautasahau nini hapo ?,maana story yenye kama haieleweki mtunzi anasimulia au anaota
 
Acha uongo
Ukweli hubainika baada ya kuchujika kwa huo unaouita uongo! ni vyema ukayashudie haya ili uubainishe ukweli hapa katika huo unaouita uongo!
 
Gamboshi, jiji la wachawi wanga na majini. Hizi simukilizi huwa zinanisisimua sana.
 
Hivi bado hawajatoa orodha ya Nchi ambayo raia wake ni waongo duniani!!!
 
Saa hautasahau nini hapo ?,maana story yenye kama haieleweki mtunzi anasimulia au
Huwezi kunielewa! maana avatar yako umejinyiga tai! kama vile unatoa mimacho kwenye payslip yako ya kwanza!
 
Nɗo maana akina mtemi Chenge hawaguswi unaweza kufika mahakamani na vidhiɓiti vƴako ukafungwa wewe
 
Nɗo maana akina mtemi Chenge hawaguswi unaweza kufika mahakamani na vidhiɓiti vƴako ukafungwa wewe
BARIADI MOJA ILE! JOKA LENYE MAKENGEZA! TENA JOKA LENYEWE ZERUZERU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…