Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa aiseee ..kwahiyo ulichukua haujaiba...nilipofika kwenye kesi kwenye kampuni, yule mzungu alinikuta na vidhibiti akafukuzwa kazi yeye! na ni kweli nilikuwa nimejichukulia{usiseme nimeiba!} maana madini ni yetu! watanzania
una lalamika wakati jina lake lenyewe ndo ilo unga unga.kwa story unganisha vipande vyote ueleweSaa hautasahau nini hapo ?,maana story yenye kama haieleweki mtunzi anasimulia au anaota
Tupe habari ya hiyo safari..Huwezi kunielewa! maana avatar yako umejinyiga tai! kama vile unatoa mimacho kwenye payslip yako ya kwanza!