Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Ila kumbukeni tunaua betri zetu , ukiwa addicted mda wote tunacheza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna game lile mission ya kuua ma zombie, level 9, kuna li giant zombie halitaki kufa licha ya kulichapa risasi na mabomu,. halafu mission ya njiani zombie wanadandia gari
 
Mimi.ni.mpenzi sana wa Game za Bus na Truck driving na bado sijapata game nzur ya kudownload naomba mnijuze wakuu
 
Mimi.ni.mpenzi sana wa Game za Bus na Truck driving na bado sijapata game nzur ya kudownload naomba mnijuze wakuu
Kwanz nitulize akili kuna game flani ya bus ni nzuri kweli ya masafa marefu
 
Bado hujaikumbuka mkuu,unijuze
Hiyo Kali saaana na ni masafa marefu mpaka off-road
Screenshot_20191108-221858~2.jpeg
 
1. Euro Truck Driver - Level 74.
2. Dream League Soccer 19 - Limeisha hilo mpaka mwisho (Ultimate challenge), nafanya marudio tu. NOTE : Hii ni unlimited money so natembea ka upepo wa kisulisuli.
 
Mkuu hamna kama FIFA achana na pess
Ni ataree mkuu cjawah kuichoka ila me nnayo ya 2019 nashindwa kuipata ya 2020 nkiingia play store naikosa hii nliyonayo jamaa alinrushia kwa sender tu ebu nifaamishe naipataje ya 2020
 
Ni ataree mkuu cjawah kuichoka ila me nnayo ya 2019 nashindwa kuipata ya 2020 nkiingia play store naikosa hii nliyonayo jamaa alinrushia kwa sender tu ebu nifaamishe naipataje ya 2020
Mkuu Fifa unaplay offline au online
 
Back
Top Bottom