Kuna mbinu niliigundua mkuu[emoji23][emoji23]
Kwanz nitulize akili kuna game flani ya bus ni nzuri kweli ya masafa marefuMimi.ni.mpenzi sana wa Game za Bus na Truck driving na bado sijapata game nzur ya kudownload naomba mnijuze wakuu
Bado hujaikumbuka mkuu,unijuzeKwanz nitulize akili kuna game flani ya bus ni nzuri kweli ya masafa marefu
Hiyo Kali saaana na ni masafa marefu mpaka off-roadBado hujaikumbuka mkuu,unijuze
Ni ataree mkuu cjawah kuichoka ila me nnayo ya 2019 nashindwa kuipata ya 2020 nkiingia play store naikosa hii nliyonayo jamaa alinrushia kwa sender tu ebu nifaamishe naipataje ya 2020Mkuu hamna kama FIFA achana na pess
Mkuu Fifa unaplay offline au onlineNi ataree mkuu cjawah kuichoka ila me nnayo ya 2019 nashindwa kuipata ya 2020 nkiingia play store naikosa hii nliyonayo jamaa alinrushia kwa sender tu ebu nifaamishe naipataje ya 2020
Hiii dream league nimepiga mpaka mpaka mwisho. Nikachapa mpaka team yangu yenyewemkuu hii dream league mbona kwangu inakataa
Naplay offline mkuuMkuu Fifa unaplay offline au online
Hii pes 2020 naipataje mkuuKweny ball hakuna kama pes 2020 mobile kwenye shooting and mission hakuna kama pubg mobile yaan ni nooma View attachment 1250732
Dah minaonaga mbaya offlineNaplay offline mkuu
Ipo play store mi nime download jana na kudeleteHii pes 2020 naipataje mkuu