Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehWe bado mchanga
Daaah uko mbali sana aisee hongera mnoCrush Saga, nipo level ya 5555 ndio ya mwisho kwa sasa hadi waaupdate level nyingine ndio niendeleeView attachment 1233496
Acha bangi mkuu..Hili game nlicheza mpka ikafika stage wakantumia message niende msituni huko amazon maana nilishindikana
Ilifika stage mimi ndo nikawa namkimbiza yule dubwana
Daah.. Amin broh
Game ya kuchangamsha ubongo inaitwa Think mzee humo lazima uthink kweli kweliGame za ku boost IQ na kufanya ubongo wako uwe sharp, smart and activeView attachment 1233708
Mkuu daah sawa bhanaAcha bangi mkuu..
Kwaio wewe ni fundi maiko?Hauwezi kuamini nimeachia bonge la smile baada ya kujua uliona cha kuchukua kwenye ile screenshot [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173].
Umeona ilivyo tamu sasa. Njoo taratibu ila sidhani kama utanifikia[emoji23][emoji23][emoji23]
Yep but ni kwa Heaven Sent tuu.Kwaio wewe ni fundi maiko?
Mimi gemu hua sipendi kabisa ila Zuma revange nilicheza hadi nikavunja mouse ya PC
Duh sasa iyo sindo unaweza usilale kabisa?Mkuu kama hii toonblast mnakuwa group limit watu 50,sasa unakuta mnashindana kila mtu anataka kuwa wa kwanza