Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Mad Skills BMX 2 nimemaliza level zote sasa hivi wanataka nilipe 29,000 ili niingie premium
 
Mimi gemu hua sipendi kabisa ila Zuma revange nilicheza hadi nikavunja mouse ya PC
 
Hauwezi kuamini nimeachia bonge la smile baada ya kujua uliona cha kuchukua kwenye ile screenshot [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173].

Umeona ilivyo tamu sasa. Njoo taratibu ila sidhani kama utanifikia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaio wewe ni fundi maiko?
 
Naona mibaba mizima mmeamua kupoteza muda wa kutengeneza fedha kwenye michezo ya watoto halafu unalaumu vyuma vimekaza
 
Game ina mizuka yake,kuna kipindi nilikuwa nacheza playstation FIFA,unakuta kila jioni friends wanakuja,kila mtu anachagua timu yake tunapambana,sometimes nilikuwa nikilala naota mpira umepigwa unakuja halafu narusha teke usingizini
Mimi gemu hua sipendi kabisa ila Zuma revange nilicheza hadi nikavunja mouse ya PC
 
Wewe una stress,kunywa maji punguza povu
Naona mibaba mizima mmeamua kupoteza muda wa kutengeneza fedha kwenye michezo ya watoto halafu unalaumu vyuma vimekaza
 
Mkuu kama hii toonblast mnakuwa group limit watu 50,sasa unakuta mnashindana kila mtu anataka kuwa wa kwanza
Duh sasa iyo sindo unaweza usilale kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…