Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Zumo bhana kuna original version yake?maana naona kila unaposhinda wanakurudisha mwanzo
Zumo level yawisho kabisa nimeramba kisahani.
 
Nikiboreka kwenye foleni hili game lanipa kampani
Screenshot_2019-10-14-22-39-03.jpeg
 
Back
Top Bottom