Tuanzie game la Yanga na simba, haiwezekani kagere afunge goli katikati ya mabeki uku mabeki wa Yanga na kipa wao wanatazama tu.hawa alikina Yondani waliuza mechi.Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu , tumeingia kuangalia soka si kuangalia vituko , Hii si Azam tunayoijua.
Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
Lia lia fcOmba omba fc bhana [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
mjomba tatizo si matokeo , shida ni kiwango na uchezaji wa Azam kwa ujumla , hawakuja kushindana kabisa !Azam vs Mwadui (1-1)
Azam vs Biashara (0-0)
Azam vs Mtibwa (0-2)
Azam vs Prisons (0-1)
Azam vs Coast union (1-1)
Azam vs Simba (1-3)
Kwa unafki wako unawasiwasi na mechi ya Simba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
mjomba tatizo si matokeo , shida ni kiwango na uchezaji wa Azam kwa ujumla , hawakuja kushindana kabisa !
Hivi wadau kweli kwa utajiri was azam utamuhonga tsh ngap mchezaji wao akubali kuuza game?Hakuna mechi hapo kipa kapewa mapemaa maana ule udakaji ni vichekesho
wachezaji wa Azam siyo ninaowalenga hapa , nina mashaka na viongozi waoHivi wadau kweli kwa utajiri was azam utamuhonga tsh ngap mchezaji wao akubali kuuza game?
kwani juventus wakati anapanga matokeo miaka hiyo alikua anafanyaje ili hali club karibia zote ni tajiri seria AHivi wadau kweli kwa utajiri was azam utamuhonga tsh ngap mchezaji wao akubali kuuza game?
Unachopinga ndicho unakifanya. Jamaa ametoa mawazo na mwingine ametoa mawazo yanayopinga mawazo. Wote wametumia uhuru wa mawazo kama wewe ulivyotumia uhuru wa mawazo kumpinga unayempinga!usiingilie uhuru wa mawazo mkuu