Game ya Azam vs Simba ichunguzwe

Wachunguze na gemu ya simba na Yanga kwanza...Yanga walihongwa or walilogwa sababu walikuwa wanacheza kama mazezeta
 
mjomba tatizo si matokeo , shida ni kiwango na uchezaji wa Azam kwa ujumla , hawakuja kushindana kabisa !
Uwezo wa Azam ndio huo uliouona Leo na ndio wanacheza hivyo mechi zao zaidi ya 7 zilizopita.
 
Rafiki zangu Chirwa na Ngoma hawajalipwa pesa zao nini?
 
Mkuu

Natamani ungeomba Pia ile game ya man city Vs Chelsea ichunguzwe.... Maana Chelsea walicheza hovyo kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sioni haja ya kuwachunguza, ila itoshe kuamini kuwa mechi ya Leo kuna namna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azam uwezo umeshuka sana, juzi tu kasumbuliwa sana hapo Tanga. Ukitaka kuisumbua simba paki basi cheza counter
 
Ilipofungwa na lipuli ulikuwa wapi?
 
Ukiacha kupaki basi kwa Simba lazima ulie.Wao wanafikiri Zahera mjinga kucheza na walinzi 9??
 
Wewe jamaaa kama sio yanga ila unazuga simba basi lazima kunq siku ulitaka kugombea uongozi ktk simba wakakuchinjia baharini.
Wewe ni kuipondaga tu simba na uongozi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…