Game ya Azam vs Simba ichunguzwe

Wewe jamaaa kama sio yanga ila unazuga simba basi lazima kunq siku ulitaka kugombea uongozi ktk simba wakakuchinjia baharini.
Wewe ni kuipondaga tu simba na uongozi wake.
Hapana mkuu , japo sielewi kwanini Swedi Nkwabi amekuwa kiongozi wa Simba lakini sina kinyongo chochote
 
Kabwili,Paul,Mbaga,Vincent,Abdala Shaibu,Yondani,Tshishimbi na Ajibu.Wote hao walikuwa wana paki basi.Zahera sio mjinga.
 
Unaacha kusema game ichunguzwe ili tujue ule mpira uliopigwa na kagere mpaka ukasababisha goli la 3 ulipitia wapi maana kagere alikua anatafuta ulipopitia ila hakuona

Sent using unknown device
 
Chura mkubwa unatapatapa nini hakuna mwanasimba mjinga na mpumbavu kama wewe timu imefunga al ahly, js saoura, vyura wa jangwani sembuse kiazam?
Nenda kahoji azam kutoa droo na alliance, coastal achana na simba timu kubwa level zetu ni tim za nje kwa sasa...jingakabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie vp....huyo azam avavyotupiga mara kwa mara(hasa mapinduz cup)...leo sisi tumpige muanze kelele

Acheni wana-Simba tufurahie matokeo ya timu yetu kipindi hichi....malalamiko yenu pelekeni huko bwawani....juzi tumekula kumi tumevumilia tu saiv tukishinda eti tunahonga
 
Acha kumdharau bakhessa....yani huyo Mo ndo anauwezo kuhonga mpaka Azam....labda unge sema Refa alikua kahongwa kidogo ungeeleweka
 
Me naona ya Leo haina shida mana mpira wamemiliki sana Azam, mimi wasi wasi wangu ni Mechi dhidi ya Yanga, nina wasiwasi kwamba Yanga wamepewa hela ili wafungwe na Simba, haiwezekani Yanga iliyobora kabisa na inaongoza ligi ikafungwe na Simba hii Mbovu, ambayo iko nafasi ya 3 hii imeniuma sana Mimi kama Mashabiki na Mwanachama hai Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...hii ni kawaida japo mechi sijacheki. bodi ya ligi ihusike kama ni kweli
 
Al Hali nao wamepewa Hela wale wapuuzi.. As Vita nao watapewaa helaa wajinga hawA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wabongo bhnaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kujadili visivyojadilika....kifupi Kwa tz hakuna anayeiweza Simba.
Tununue mechi ya Azam iliyochezwa Kwenye uwanja aliokufa Al ahly.
Tumenunua wachezaji hatununui mechi.
Tangu Club bingwa imeanza Kagere hajawafunga FC.VITA tu...
Yanga,Azam na Mtibwa mtakua mashahidi jinsi Kagere alive na njaa,,
Unanuaje mechi sasa....Are you....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…