Kwahiyo kwa uelewa wako Golikipa nae anapaki basi??na unaamini unaelewa kwa usahihi dhana ya kupaki bus maana yake ni nini???Kwani golikipa kazi yake nini?Kuzuia au kushambulia?
Golikipa ni sehemu ya ulinzi.Hashambulii.Kwa hiyo ni sehemu ya basi liki paki .
Mara ya mwisho wameshinda mechi gani
Kwani kuna wakati ambapo Azam walisawazisha?hii ya leo komesha mkuu ! hata goli lao la kusawazisha baadhi ya wachezaji wa Azam wameonekana kusikitika .
Azam vs Mwadui (1-1)
Azam vs Biashara (0-0)
Azam vs Mtibwa (0-2)
Azam vs Prisons (0-1)
Azam vs Coast union (1-1)
Azam vs Simba (1-3)
Kwa unafki wako unawasiwasi na mechi ya Simba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita walifunguka kiganjaKosa wamefanya Azam ni kufunguka. Simba ukiifungukia umekwisha
100% sina imani Na Yondani..sijawahi kuona akipitwa vile bila ya kucheza rafu..hawa wachezaji waliocheza zote mbili majanga..reference Dida Na BarthezTuanzie game la Yanga na simba, haiwezekani kagere afunge goli katikati ya mabeki uku mabeki wa Yanga na kipa wao wanatazama tu.hawa alikina Yondani waliuza mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao achana nao ni ndugu,jiulize Bakharesa kaumizwa na matokeo?Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu , tumeingia kuangalia soka si kuangalia vituko , Hii si Azam tunayoijua.
Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
Pole, hivi lini mtaanza kuvua wale vyura?Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu , tumeingia kuangalia soka si kuangalia vituko , Hii si Azam tunayoijua.
Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
Kwahiyo kwa uelewa wako Golikipa nae anapaki basi??na unaamini unaelewa kwa usahihi dhana ya kupaki bus maana yake ni nini???
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenunua mechi za Al Ahly na Yanga???simba wananunua mechi
Mlinunuliwa bei gani?Manunuzi FC ilifanya kazi.