Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu , tumeingia kuangalia soka si kuangalia vituko , Hii si Azam tunayoijua.
Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
Mkuu Mwambusi kutimuliwa kwako kusikuchanganye sana , hayo ni maisha tuWaliohusika ni kina nani?Wacha kujipa ujiko kwa assumption ya kijinga.
Wewe ulidai kwamba kuna njama tena bila ushahidi. Form ya Azam kwenye mechi za karibuni imekuwa mbaya. Mpaka walifanya mkutano na wachezaji kujaribu kutatua matatizo yaliyofanya timu i under perform.
Matokeo dhidi ya Simba yalikuwa ni muendelezo wa kupoteza mechi na kutoka sare bila kushinda.
Hatua iliyochukuliwa ilitegemewa na haihusiani na uzi wako.
Wacha kujipa cheap ujiko.
Wa kuchungwa nani hapo mkuu?Hata mechi ya simba na yeboyebo nayo ichunguzwe,haiwezekani wapigwe goli chache vile,simba ilicheza chini ya kiwango sana wakati wana fowadi kali balaaaaaa
Unachosema ni kweli kabisa hata mechi ya Yanga vs Simba inatakiwa kuchunguzwa haiwezekan wachezaji kukosa magoli ya wazi vile!!!Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu , tumeingia kuangalia soka si kuangalia vituko , Hii si Azam tunayoijua.
Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .