Game ya Azam vs Simba ichunguzwe

Game ya Azam vs Simba ichunguzwe

Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu , tumeingia kuangalia soka si kuangalia vituko , Hii si Azam tunayoijua.

Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .

Kwanza nikuulize, hivi umeangalia mechi za Azam za nyuma angalau hata mbili hivi!? Umepima perfomance yake!? Kuna utofauti gani na mechi waliyocheza na Simba!?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Waliohusika ni kina nani?Wacha kujipa ujiko kwa assumption ya kijinga.
Wewe ulidai kwamba kuna njama tena bila ushahidi. Form ya Azam kwenye mechi za karibuni imekuwa mbaya. Mpaka walifanya mkutano na wachezaji kujaribu kutatua matatizo yaliyofanya timu i under perform.
Matokeo dhidi ya Simba yalikuwa ni muendelezo wa kupoteza mechi na kutoka sare bila kushinda.
Hatua iliyochukuliwa ilitegemewa na haihusiani na uzi wako.
Wacha kujipa cheap ujiko.
 
Mkuu Mwambusi kutimuliwa kwako kusikuchanganye sana , hayo ni maisha tu
 
Kukuambia ukweli nimekuwa Mwambusi!!!!
Sema ukweli wacha kujificha kwenye uzushi.
Vipi bifu la kunyimwa uongozi ndio linakufanya uropoke.
 
Mpaka hivi sasa Simba inaongoza kwa magoli 3-1 , lakini kwa namna timu ya Azam inavyocheza ni dhahiri iko chini ya kiwango mno ! ni lazima kuchunguza ili kujiridhisha kama hakuna mchezo mchafu , tumeingia kuangalia soka si kuangalia vituko , Hii si Azam tunayoijua.

Pamoja na kwamba mimi ni mwana simba lakini kiukweli tunahitaji ushindi usio na mawaa ili timu yetu isibweteke .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
Unachosema ni kweli kabisa hata mechi ya Yanga vs Simba inatakiwa kuchunguzwa haiwezekan wachezaji kukosa magoli ya wazi vile!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom