ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
kiuhalisia mpira wetu ni mdogo sana! ukiangalia vizuri utagundua sisi tunapiga mpira wakati wenzetu wanacheza mpira!! tusipobadilika tutapata taabu sanaKwa mlioangali mpira Jana watoto wa taifa Starz walipiga mpira mzuri sana mpaka ikawa ngumu kujua yupi Ni man of the match..kwa maoni yako wewe unaona Nani anastahili kuwa man of the match?
Na mpira ni ushindi/ wewe mpira wa maonyesho ata barcelona ameacha sikuizkiuhalisia mpira wetu ni mdogo sana! ukiangalia vizuri utagundua sisi tunapiga mpira wakati wenzetu wanacheza mpira!! tusipobadilika tutapata taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuuliza ili iweje?Kwa mlioangali mpira Jana watoto wa taifa Starz walipiga mpira mzuri sana mpaka ikawa ngumu kujua yupi Ni man of the match..kwa maoni yako wewe unaona Nani anastahili kuwa man of the match?
Dogo inaonekana shemeji na dada yako kashaenda kazini umebaki kutawala nyumbaMakonda ndo man of the match
Kaoshe vyombo dogo, beba box mpaka bega lilale upande mmojaDogo inaonekana shemeji na dada yako kashaenda kazini umebaki kutawala nyumba
HahahaKaoshe vyombo dogo, beba box mpaka bega lilale upande mmoja