Game ya jana nani alikuwa Man of the Match?

Game ya jana nani alikuwa Man of the Match?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa mlioangali mpira Jana watoto wa Taifa Stars walipiga mpira mzuri sana mpaka ikawa ngumu kujua yupi ni Man of the Match.

Kwa maoni yako wewe unaona nani anastahili kuwa Man of the Match?
 
Screenshot_2019-03-25-12-31-31.png
 

Attachments

  • Screenshot_2019-03-25-12-31-31.png
    Screenshot_2019-03-25-12-31-31.png
    177.9 KB · Views: 15
Ni vigumu kumpata man of the match kwani timu ilikuwa nzuri idara zote. Lakini kidoogo,
Erasto Nyoni
i. Aliongoza utulivu safu ya ulinzi
ii. Utulivu kwenye penati ulizidisha matumaini hatimaye ushindi mnono
 
Kwa mlioangali mpira Jana watoto wa taifa Starz walipiga mpira mzuri sana mpaka ikawa ngumu kujua yupi Ni man of the match..kwa maoni yako wewe unaona Nani anastahili kuwa man of the match?
kiuhalisia mpira wetu ni mdogo sana! ukiangalia vizuri utagundua sisi tunapiga mpira wakati wenzetu wanacheza mpira!! tusipobadilika tutapata taabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samata bila yeye kuwa kwenye ulinzi wa watu watatu , hao wengine wasingeonekana
 
Wachezaji wote jana walikuwa ni men of the match. Kila idara jana ilicheza vizuri kwa ustadi na umakini mkubwa kiasi mpaka baadhi tukaishia tu kujiuliza, siku zote walikuwa wapi hawa? (ukiondoa ile mechi ya marudio na Cape Verde)
 
Back
Top Bottom