Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi ni saa nne kasoro mbili...Wasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip Mkuu umeshafika Lodge Kumpelekea Makusu mzigo wake akuhemeee Kisogoni maaana sio kwa mahaba hayo. Poleeeeeeee.Wasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndala,ongea sasaWasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kweli wachawi watuWasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
huko alipo anajuta kweli kweli kwa alichokipost ndio maana tunaambiwaga tuwe na akiba ya manenoVip Mkuu umeshafika Lodge Kumpelekea Makusu mzigo wake akuhemeee Kisogoni maaana sio kwa mahaba hayo. Poleeeeeeee.
KAMWENEEE
Njoo kwenye Uzi wako tujadiliane mkuuWasalaam
Wale wanaojipa matumaini eti Simba atambamiza Vita mnajipa ugonjwa wa moyo bure bure. As Vita sio wa kuaga haya mashindano kwa kutolewa na Simba hii.
Kama unabisha tukutane saa tatu usiku hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa nimemsubiri sana simuoniSaiz sa sita uonekani jamvini wakat ulisem sa 3 utakuepo
Mungu kashatenda mambo