MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Wimbo gan?Kama mdau Deogratius Kisandu alivyoibiwa wimbo na Mwana FA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo gan?Kama mdau Deogratius Kisandu alivyoibiwa wimbo na Mwana FA
Kabisa mkuu hii inafanya game kuwa ngumu hata kama ni underground ukitaka kutoka lazime ujiunge na moja ya makundi hayoJana nilikuwa naangalia interview moja ya Fid Q, kimsingi alisema hivyo hivyo alivyosema mleta maada kuhusu makundi kufanya wasanii wazuri wasio katika makundi kutosikika.
Wasanii wa bongo wanaongoza kwa unafikiMara zote ukiwa vugu vugu unakuwa huaminiki, siyo lazima ujiunge na wasafi au clouds ile kuonekana tu unamtazamo wa upande gani inatosha. Wasanii wengi ni wanafiki sana hivyo hawapendi kuonekana wapo upande gani.
Kuna mwanamuziki mmoja wa Reggae anaitwa Ijahman Levi.Mara zote ukiwa vugu vugu unakuwa huaminiki, siyo lazima ujiunge na wasafi au clouds ile kuonekana tu unamtazamo wa upande gani inatosha. Wasanii wengi ni wanafiki sana hivyo hawapendi kuonekana wapo upande gani.
Kwa bongo hii labda!!!!Kuna mwanamuziki mmoja wa Reggae anaitwa Ijahman Levi.
Ana wimbo wake mmoja anaimba
"I don't need no syndicate, I am a peaceful Rastaman, who is working for Jah
Noo, don't need a syndicate, while I'm praising only Jah
My father is forever, high, high, he dwelleth in my heart
He is always in my heart..."
Labda kuna underground wana falsafa kama za Ijahman
Kuna watu hawako vuguvugu, si wa moto wala baridi.Mara zote ukiwa vugu vugu unakuwa huaminiki, siyo lazima ujiunge na wasafi au clouds ile kuonekana tu unamtazamo wa upande gani inatosha. Wasanii wengi ni wanafiki sana hivyo hawapendi kuonekana wapo upande gani.
Thibitisha Mungu hayupo.Kuna watu hawako vuguvugu, si wa moto wala baridi.
Hawako East wala West.
Wana hoji dimensionality yenyewe.
Art is complex creativity.
Kulazimisha habari za moto na baridi is older than the old testament.
Napendaga sana pale unapo mention old testamentKuna watu hawako vuguvugu, si wa moto wala baridi.
Hawako East wala West.
Wana hoji dimensionality yenyewe.
Art is complex creativity.
Kulazimisha habari za moto na baridi is older than the old testament.