technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba.
Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini hawapangi ratiba Bora isiyoyumba ?
Nani anasogezewa mbele kipigo?
Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini hawapangi ratiba Bora isiyoyumba ?
Nani anasogezewa mbele kipigo?