Yanga SC wanahitaji ubingwa pressure ipo, pia Ndiyo wakati wa mavuno kwa wachezajiSababu ni moja tu :
Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5.
Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika.
Kwa upande wa Yanga wao hawana pressure yoyote ile kwasababu hata wakipoteza itakuwa sio issue sana kwao kwakuwa tayari kampiga Simba mitama ya kutosha.
Kuna mdau pia amedokeza kuwa hata Tff wanataka Simba ishinde na wamemuweka Refa ambaye inaaminika ni Yanga damudamu ili akiwaumiza kusiwe na kelele nyingi
Sasa tukusaidie niniSababu ni moja tu :

Washauri wacheze kwa utulivu ili washinde ukizingatia kwa sasa wana timu nzuri yenye vijana kuliko Yanga.Sasa tukusaidie nini
bado hulielewi tu hilo au umeamua kukaza kichwa tuTatizo sio kupania, tatizo wana timu ya kupishana na mpinzani wao?
Atashinda njaa.Simba atashinda safari hii