Game ya Yanga na Azam itapigwa Chamazi?

Game ya Yanga na Azam itapigwa Chamazi?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Jee kama inapigwa Chamazi CCTV Camera zitakuwepo?

Gemu itaanza saa kumi na Moja. Ikifika saa Moja itabidi taa za uwanjani ziwashwe, jee wataendelea kumzimia taa yule mchezaji aliyelogwa ili asifunge goli?

Yale mavitu yatakuwepo ama watajidunga huko huko ili asinaswe na kamera?
 
Yanga msimu huu Wana kibarua
Jee kama inapigwa Chamazi CCTV Camera zitakuwepo?

Gemu itaanza saa kumi na Moja. Ikifika saa Moja itabidi taa za uwanjani ziwashwe, jee wataendelea kumzimia taa yule mchezaji aliyelogwa ili asifunge goli?

Yale mavitu yatakuwepo ama watajidunga huko huko ili asinaswe na kamera?
 
Tunawasisitiza siku ya mechi trh 8 bebeni dawa zenu za kisukari na pressure ya kupanda
Maana laZima mnara usome 5G
Mechi ya maana mlishindwa kufunga goli moja tu muende robo fainali, mko bize kusingizia Azam wanawahujumu Chamazi.
 
Back
Top Bottom