Gamers, game gani zuri kwa upande wa PS4 kwa ajili ya kupambana?

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
126
Reaction score
50
Gamers kwema, nina PS4. Nahitaji game la vita zuri kwa ajili ya online.

Nimetokea kulipenda sana Warzone, ila halikubali kwenye PS4; ni la PS5 tu. Hivyo, naomba msaada, game gani zuri kwa upande wa PS4 kwa ajili ya kupambana?
 
real boxing 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…