Unaweza kuidownload kweli FIFA 18 yenyewe? Au ndio longolongo za siku zote.Fortunately PES 18 NA FIFA 18 HIZI APA
Pro Evolution Soccer 2018 Free Download
FIFA 18 Free Download
Mkuu tukutane online kwenye ps3unaweza kuidownload kweli fifa 18yenyewe? au ndio longolongo za siku zote.
Kwa wanaocheza game ya mpira, mimi naikubali zaidi Pes hasa uwepo wa Uefa champions league, bado Fifa haikuti Pes, kwa mtazamo wangu.
Wewe unaikubali ipi?
Unatumia kifaa gani pc au smartphone?Pes 2017 inagunguka lkn wachezaj wakiingia uwanjan inaganda imeanza hv baada ya kuweka patch v6.0 msaada hapa
Pc yako ina bluetooth? Kama haina kanunue ile USB bluetooth kama 5000 hivi.Msaada tafaghali namna ya kutumia wireless ps 3 controller kwenye pc ....naitumia kwa kupitia usb...nikitoa usb nayo inatoka....je nawezaje itumia kama wireles
inabidi uijue ni i5 ipi kwanza. nenda my cimputer kisha right click then properties.Kirangi Paul:
Nna pc ina ram 8gb
Processor core 5
Cpu speed n 2.5,,,,je ninaweza cheza fifa 18 au pes 18
screenshot maelezo yote lete hapaNi i5 2.5GHZ